• Breaking News

  Sep 7, 2016

  Mama Wema Sepetu Anajishushia Heshima...Bifu la Man Fongo na Wema Sepetu

  Leo Kwenye Kipindi cha You Heard mama Wema nimekushusha huku mtaani kwetu tunasema nimekushusha vyeo yaani heshima nimesikiliza mahojiano yako na Soudy Brown wa Clouds fm muda muda wa mchana nimeshangaa unavyopayuka kuhusu ugomvi wa mwanao na Man Fongo hata haingii akilini kwa kuchukua maneno ya kuambiwa ndo kuwa source yako kubwa kuamini na kuongea na kutukana maneno ambayo hata mwanao angeongea ningemdharau ila umekuja kuongea wewe naona bado ujauzoea umaarufu we ni mtu mzima unatakiwa ujiepushe na mambo hayo ya kitoto mana hata mwanao ni binadamu na anakosea sijapenda kabisa

  Msikilize Hapa:

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku