• Breaking News

  Sep 4, 2016

  Mamlaka ya Bandari Yakiri Mizigo Kupungua Bandarini


  Mamlaka ya bandari yakiri kupungua mizigo bandarini ilipokutana na kamati ya bunge, wasema sababu kuu ni hofu ya VAT kwa wateja na usalama mdogo wa mizigo.

  Kamati ya Bunge kuitisha kikao cha pamoja kwa wadau wanaotumia bandari ya Dar es Salaam

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku