Sep 3, 2016

Mchezaji Mrisho Ngasa Adaiwa Kujimaliza Mwenyewe Kimichezo Baada ya Kuvunja Mkataba Afrika Kusini

Kitendo cha mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania kuvunjiwa mkataba wake na klabu ya Free State ya Afrika Kusini, kimechukuliwa kama kujimaliza kisoka.

Ngassa, ambaye alijiunga na timu hiyo msimu wa 2014/15 kwa mkataba wa miaka minne, alivunjiwa mkataba wake wiki iliyopita kwa sababu ambazo hazikuwekwa wazi.

Ofisa Maendeleo wa Shirikisho la Soka Tanzania, Jemedari Said aliliambia gazeti hili kuwa alitegemea Ngassa kutodumu Afrika Kusini.

“Nilitegemea kabisa kuwa Ngassa hatomaliza mkataba wa miaka minne, ambao alisaini kule, lakini sikutarajia kama ingekuwa mapema kiasi hiki. Haya yote yanayomkuta ni matokeo ya maisha aliyojitengenezea mwenyewe tangu siku za nyuma.

Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR