Sep 23, 2016

MHADHIRI wa Chuo Kikuu Mikononi Mwa Polisi Kwa Kumkashifu Rais Magufuli


IRINGA: Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mkwawa, Kitivo cha Elimu (MUCE) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma ya kumkashifu Rais Magufuli katika mtandao wa WhatsApp.

Mhadhiri huyo (48) alikamatwa Mkoani Rukwa na kusafirishwa mpaka Iringa kwa hatua za kisheria.

No comments:

Post a Comment