Aliyewahi kuwa miss Tanzania mwaka 2000, jackline ntuyabaliwe maarufu kama k- lynn au boss lady ambaye pia ni mke halali wa billionea na mfanyabiashara maarufu nchini bwana Reginald mengi, hivi karibuni amefungua duka lake jipya la FURNITURE 'ammorrete " lenye brand yake  ambapo atakua anauza furniture mbali mbali za nyumbani pamoja na mambo ya decorations ambayo ameyabuni mwenyewe


Post a Comment

 
Top