Sep 28, 2016

MOMBASA: Gaidi Hatari Aliyekuwa Akitafutwa Kwa Muda wa Miaka Miwili Auawa na Polisi


MOMBASA: Gaidi hatari, Ismail Mohammed Soshi aliyekuwa akisakwa kwa kipindi cha miaka 2 ameuawa na polisi huko katika eneo la Kisauni.

Gaidi huyo alihusika kwenye mauaji ya Afisa Usalama wa Taifa, Hashim Salman mwaka jana

No comments:

Post a Comment