Sep 7, 2016

Mourinho ashinda tuzo ya kocha bora wa mwezi August ligi kuu Uingereza

Kocha wa Manchester United Jose Mourinho ameshinda tuzo ya kocha bora wa mwezi August ligi kuu nchini Uingereza na kuwashinda Antonio Conte,Pep Guardiola na Mike Phelan waliokuwepo katika kinyang’anyiro hicho.

Install SIASA HURU App Kwenye Simu Yako Kusoma Habari hizi Kirahisi, Bonyeza HAPA

Post a Comment

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © Siasa Huru l Habari za Siasa | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by SiasaHuru.com