• Breaking News

  Sep 15, 2016

  MSANII Akoshwa na Utendaji Kazi wa Magufuli na Kuamua Kujichora Tattoo ya Jina la Magufuli Kifuani

   Msanii MossRed wa Tanzania anayeishi Afrika Kusini , amejichora tattoo ya jina la Rais Magufuli akionyesha mapenzi yake kwake na Kazi anayofanya kwa nchi Yetu Tanzania.
  Msanii huyu anaishi Afrika Kusini.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku