UTEUZI: Rais Magufuli amemteua Eliya Ntandu kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe. Pia amewateua Wakurugenzi 13 wa Halmashauri mbalimbali.
Mtangazaji wa kipindi cha 360 cha Televisheni ya Clouds, Hudson Kamoga ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mbulu.


Post a Comment

 
Top