Sheikh Abubakar Zubeiry 
Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeiry ametangaza Septemba 12 kuwa ndiyo siku ya Sikukuu ya Eid Alhaj ambayo itaswaliwa kitaifa katika Makao Makuu ya Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA).

Taarifa hiyo imetolewa na Sheik Mkuu wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum kwa niaba ya Mufti Mkuu alipokuwa akitambulisha viongozi wapya wa Baraza la Vijana la Jumuiya ya Waislamu Dar es Salaam.


Post a Comment

 
Top