Sep 11, 2016

Muonekano wa Ndege ya Pili ya Air Tanzania Tayari Kwa Kuja Nyumbani

Huu ndio muonekano wa ndege ya pili ya Air Tanzania tayari kwa kuja huko nyumbani Tanzania.Ndege hii iliyopewa Reg # ya C-FHNF aina ya Dash8-Q400 ipo katika maandalizi ya mwishomwisho kuweza kuletwa Tanzania.Ndege hizi mbili,mpya,mali ya ATCL zinategemewa kufika Tanzania kati ya September 15 na Sepetember 19 2016.Install SIASA HURU App Kwenye Simu Yako Kusoma Habari hizi Kirahisi, Bonyeza HAPA

Post a Comment

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © Siasa Huru l Habari za Siasa | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by SiasaHuru.com