• Breaking News

  Sep 15, 2016

  Mwanafunzi wa Chuo cha IFM Apigwa Risasi ya Mguu

  DAR: Mwanafunzi wa Chuo cha IFM apigwa risasi 3 mguuni baada ya kupigiwa kelele za mwizi kimakosa akiwa matembezini eneo la Tabata.
  Kwa sasa mwanafunzi huyo amelazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku