• Breaking News

  Sep 3, 2016

  Mwanafunzi wa Kidato cha Nne ahukumiwa Jela Miaka 7 Kwa Kumteka Binamu Akitaka Apewa Mil 3.5

  KENYA: Mwanafunzi wa Kidato cha Nne ahukumiwa miaka 7 jela kwa kumteka binamu yake akitaka apewe shilingi milioni 3.5 ili amwachie.

  Kabla ya kukamatwa alitishia kumdhuru mtoto huyo kama asingepewa kiasi hicho cha fedha

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku