MARA: Jeshi la Polisi linamshikilia mwanamke mmoja kwa tuhuma ya biashara haramu ya kuuza watu. Huwauza kati ya Sh. 150,000 hadi 300,000.

Alikutwa akiwa na wasichana watano aliokuwa amewaficha nyumbani kwake kwa lengo la kuwauza na wengine kuwaozesha kwa wanaume wenye kuhitaji.


Bonyeza HAPA Kudownload Application ya SIASA HURU Kwenye Simu yako ili Kupata Habari zetu Haraka


POST A COMMENT

Post a Comment

 
Top