• Breaking News

  Sep 18, 2016

  MWANAUME Ahukumiwa Kifungo cha Miaka 30 Kwa Kumbaka na Kumlawiti Msichana Makaburini


  MPANDA, KATAVI: Mwanaume mmoja amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kukutwa na hatia ya kumbaka na kumlawiti msichana mmoja makaburini.

  Mshtakiwa huyo alitenda kosa hilo Juni 17, mwaka huu, saa 2:00 usiku katika makaburi ya Kashaulili yaliyoko katika Mtaa wa Kotazi, Manispaa ya Mpanda. “Baada ya kumtendea unyama msichana huyo, mshtakiwa alimwomba dada huyo waende kwenye nyumba ya kulala wageni inayoitwa Kingi Paris ili wakaendelee kufanya mapenzi zaidi kwa kile alichodai kuwa nyumba hiyo ya wageni inafaa zaidi kufanyia tendo la ndoa kuliko juu ya kaburi,” alisema Mwendesha mashtaka

  1 comment:

  1. wanawake wanaobaka vijana wadogo mbona hawatangazwi?

   ReplyDelete

  Siasa

  Michezo

  Udaku