MUKONO, UGANDA: Mwanaume mmoja amemuua mkewe kwa kumkatakata na mapanga akimtuhumu kuwa na mahusiano ya kimapenzi na jirani yao.

Mtuhumiwa amedai kuwa mkewe alikuwa na tabia ya kwenda kuomba nyanya kila siku kwa jirani na alishamkataza


Post a Comment

 
Top