• Breaking News

  Sep 2, 2016

  Mzee Aagiza Azikwe Huku Amekaa...Azikwa na Jeneza la Aina yake


  Mzee mmoja huko Wilayani Maswa aliacha wosia kuwa atakapofariki azikwe kwenye jeneza akiwa amekaa.

  Watoto na ndugu zake wametekeleza hapo jana baada ya kutengeneza jeneza ambalo lilimfanya mzee huyo ahifadhiwe akiwa amekaa.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku