Sep 8, 2016

Nchi za Afrika Mashariki Zahairisha Kusign Mkataba wa EPA


DAR: Nchi za Afrika Mashariki(EAC) zimehairisha kwa miezi 3 kusaini Mkataba wa EPA hadi baadhi ya mambo yanayobishaniwa yatatuliwe.
Moja ya mambo yanayobishaniwa ni jinsi gani Jumuiya ya Afrika Mashariki itaweza kujiuzuia isigeuzwe soko la bidhaa za kilimo kutoka Ulaya.

No comments:

Post a Comment