Serikali imesema hadi sasa haina deni inayodaiwa na walimu nchini na kwamba madeni yaliyokuwepo ya Shilingi bilioni 22 yalishalipwa.

Kama walimu wana madeni mapya kuanzia sasa watakiwa kuyawasilisha wizarani kwa ajili ya kuhakikiwa na kulipwa.


Bonyeza HAPA Kudownload Application ya SIASA HURU Kwenye Simu yako ili Kupata Habari zetu Haraka


POST A COMMENT

Post a Comment

 
Top