• Breaking News

  Sep 23, 2016

  NGASA Atimkia Uarabuni Baada ya Kuvunja Mkataba Sauz Afrika...Hii Ndio Timu Iliyomsajili


  Ngassa amemalizana na Fanja kwa kusaini mkataba wa miaka miwili, leo.

  Wakati Ngassa aliyevunja mkataba na Free State Stars ya Afrika Kusini akimalizana na Fanja FC, tayari klabu hiyo ilishamsajili Danny Lyanga kutoka Simba.

  Lyanga amejiunga na Fanja rasmi baada ya kufuzu majaribio na kupewa mkataba wa miaka miwili.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku