Sep 20, 2016

PICHA:Lucci Laciano Mwanamziki wa Jamaica Aliyejichora Tatoo ya Rais Magufuli

Mwanamziki wa Jamaica Las Laciano aliyewahi kutamba na nyimbo kadhaa , " ikiwemo its me against jah" amejichora tatoo ya rais kutokea Africa anayemkubali , ambaye ni rais wa Tanzania Mh. Dr John Magufuli.

Sababu ni kuwa ndo rais muwajibikaji, anayeona mbele hatishiwi na matatizo ya mpito ila anatishiwa na matatizo ya muda mrefu kama rushwa, urasimu na uzembe kazini.


Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

3 comments:

  1. NA BADO WASIOLIONA HILO WATAISOMA NAMBA

    ReplyDelete
  2. KWENYE MITI HAKUNA WAJENZI-HUYO MTU NI LULU au LETS SAY TANZANITE..

    ReplyDelete

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR