MEXICO: Polisi wamelikamata gari moja linalotumika kurusha Dawa za Kulevya kama kombora kutoka upande mmoja wa mpaka hadi mwingine.

Polisi wamesema hii haikuwa mara ya kwanza kunasa gari kama hilo katika mpaka wa Marekani na Amerika kusini. Mwaka 2012, walanguzi wa dawa za kulevya walikuwa wakitumia mbinu kama hiyo.


Post a Comment

 
Top