Jeshi letu la polisi lilimuhoji meya wa Kinondoni Mh.Boniphace Jacob kwa masaa kadhaa kabla ya meya huyo kufanya mkutano na waandishi wa habari.

Jeshi hilo lilimuhoji meya huyo kwa kuhofia kuwa anaweza kutumia mkutano huo kumkashifu rais Magufuli.

Baada ya kujiridhisha kuwa mheshimiwa rais hatakashfiwa ndipo meya akaruhusiwa!

Chanzo: Mwananchi


Post a Comment

 
Top