Audio Ambayo imekuwa ikisambaa toka jana kwenye mitandao ja kijamii Mwanamke akielezea tukio aliloshuhudia kwamba Kwa sasa ukikutwa gesti mchana Dar unakamatwa kwa kosa la kulala muda wa kazi, polisi walikuwa wanafanya msako Tegeta kukamata watu hao

Msikilize Hapa:


Post a Comment

 
Top