• Breaking News

  Sep 1, 2016

  Rais John Magufuli Atishia Kubadili Noti Kuwadhibiti Walioficha Fedha


  Rais John Magufuli leo ametishia kubadilisha noti, ikiwa ni kama njia ya kuwadhibiti watu wanaodaiwa kuficha fedha majumbani.
  Rais amezungumza hayo katika mkutano wa 14 wa mwaka wa wahandisi uliofanyika katika ukumbi wa Mlimani City.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku