• Breaking News

  Sep 28, 2016

  RAIS Magufuli Natamani Malaika Ashuke na Aifungie Mitandao ya Kijamii

  Rais Magufuli, natamani malaika ashuke azime mitandao ya kijamii, irudi baada ya mwaka 1 ikute hatua kubwa za kimaendeleo tulizopiga.

  Ameyasema hayo leo wakati wa uzinduzi wa ndege mbili aina ya Bombadier Q400, ambazo zimewasili nchini rasmi kutoka nchini Canada.

  Amesema kwenye mitandao ya kijamii watu wengi wanaandika bila kuwa na taarifa sahihi. Amesema, "No research no right to speak"

  3 comments:

  1. Nimesikiliza sana hotuba ya mkuu na bwana mdogo RC wa dar
   Inashangaza wote wawili hotuba zao zimejaa. Kuwashambulia watu kwa mafumbo
   Inshangaza mkuu eti hamjui meya wa dar anatoka chama gani
   Hangiii kichwani kabisa
   Hawajuandaliwa risala pale
   Kwani kila alikuwa akisema kimuijiacho kichwani
   Wassadizi wa mkuu mwandalieni risala fupi na nzuri
   Kwani nafikiri wacanada walichoka na maelezo ya wote waliosoma risala
   Kwani walikuwa wanarudia Yale Yale
   Kwa wazungu au western time is money
   Na pale hapakuwa mahali pa kuzungumzia CCM , ukawa au chadema
   Pesa zile ni zetu sote watanzania
   Ya ilani hayakuhusu pale
   Upigaji picha ilikuwa kama vurugu mechi
   Simama kaa
   Watayarishaji jiaandani
   Picha za mkuu ziwe kwa watu maalumu waliotayarishwa

   ReplyDelete
  2. Usijali baba,wanyonge na ambao tulikuwa hatujazoea pesa za mkato tuko na wewe.Tunaomba Mungu huyo pepo wakutoutamani tena au kuujutia urais asiendelee,tunakuhitaji kwa miaka 10 kama ilivyo ada,umeleta heshima TZ kwa saaana tu.MUNGU AKUBARIKI.

   ReplyDelete
  3. MBELE KWA MBELE BABA,TATIZO LA MITANDAO YA KIJAMII INATUFANYA KUSHINDWA KUTENGENEZA TULIPOJIKWAA, MAANA KWA WASIOJUA KUTUMIA VIZURI MITANDAO WAO KILA SIKU NI WA KUKOSOA TU.

   ReplyDelete

  Siasa

  Michezo

  Udaku