• Breaking News

  Sep 1, 2016

  Rais Mwanamke wa Brazil Dilma Rousseff Anyang'anywa Urais Kwa Kutokuwa na Imani Naye


  BRASILIA, BRAZIL: Rais Dilma Rousseff ameondolewa madarakani kwa kura 61 leo baada ya Bunge kupiga kura ya kutokuwa na imani naye.
  Aliyekuwa Makamu wake, ambaye aligeuka adui namba moja Michel Temer, sasa anaapishwa kuwa Rais hadi uchaguzi mkuu utakapofanyika mwaka 2018.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku