Pichani ni Rais Kenyatta katika soko linaloitwa Kenyatta katika bucha maarufu liitwalo Hayi-Hayi

Alitembelea mahali hapo akiwa na baadhi ya viongozi wa jiji la Nairobi ili aweze kula nyama choma.


Post a Comment

 
Top