Sep 7, 2016

Romy Jons atoa sababu ya Diamond kutohudhuria birthday yake

Romy Jons amefunguka chanzo cha Diamond kushindwa kuhudhuria kwenye sherehe yake ya kuzaliwa ambayo imezua tetesi za wawili hao kutoelewana.


Akiongea kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM Jumamosi iliyopita, Romy alisema, “People don’t understand, halafu huwezi kumuelewesha kila mtu.”
“Ile ilikuwa ni party ambayo kila mtu alitakiwa aje afurahi, lakini at the end of the day kuna watu lazima watoke WCB waje. Sallam akanipigia simu kuwa huku kuna session watu wanarekodi lakini wakina Ray na wengine watachelewa kuja ila Nassib atabakia halafu atakuja,” ameongeza.
“Ray na Rich wamekuja pale saa tisa na nusu. At the end of the day Chibu na yeye anapiga simu kama saa kumi na nusu au 11 hivi mshamaliza? Can I come? Nikamwambia ukija labda tukusanye hela tu za mlangoni. Kwahiyo alikuwa studio kuna session anamalizia.”


Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR