• Breaking News

  Sep 28, 2016

  SALAAM Za Pongezi Kwa Rais Wangu John Pombe Magufuli

  Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa dhati Kabisa kama Kijana &  Kada  mtiifu wa Chama Cha Mapinduzi  ninaetambua juhudi/Jitihada zako unazozionyesha kila siku iitwapo leo za kuwaletea Maendeleo Wananchi wako napenda kukupongeza kwa Kutimiza Ahadi yako ya kufufua Shirika la Ndege la Taifa " ATCL" kwa kununua Ndege Mbili Mpya na leo tumepokea Ndege ya Pili.

  Sasa Watanzania Wote wamejionea wenyewe na Ulimwengu umejionea wenyewe ya Kwamba   Tanzania Mpya yaja.

  Mheshimiwa Rais Hongera sana na Mungu akubariki, Akulinde na kukujaalia Afya njema ili ukatimize vyema Majukumu yako ya kuwatumikia Watanzania kwa Kuwaletea Maendeleo.

  Robert PJN Kaseko
  Mjumbe Baraza Kuu UVCCM Mkoa wa Arusha
  September 27, 2016.

  2 comments:

  1. BIG UP PREZIDA MAGU...WENYE WIVU WAACHE WAJINYONGE.TTAENDA KUWAZIKA HAPA KAZI TU ..NAWASEME SASA!!!NA BADO.MAGU OYEEEEEEEEEEEEEEEEE

   ReplyDelete
  2. Asante Robert,tuko pamoja.

   ReplyDelete

  Siasa

  Michezo

  Udaku