Salim Mwalimu
Hatimaye makada 17 wa CHADEMA waliokuwa wanashikiliwa mkoani simiyu na polisi wameachiwa kwa dhamana baada ya upande wa mashitaka kuondoa zuio la dhamana miongoni mwa hao ni Salum Mwalimu-naibu katibu mkuu Zanzibar

Bonyeza HAPA Kudownload Application ya SIASA HURU Kwenye Simu yako ili Kupata Habari zetu Haraka


POST A COMMENT

Post a Comment

 
Top