• Breaking News

  Sep 5, 2016

  Serikali yaipa Miezi Mitatu Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Kutekeleza Ujenzi wa Viwanda

  Serikali imetoa mpaka mwezi wa 12 mwaka huu kwa mifuko ya jamii iwe imefikia hatua ya kutekelezeka ya ujenzi wa viwanda na sio maneno matupu.

  Naye waziri wa viwanda na biashara Charles Mwijage amesema hakuna mtu ALIYEKURUPUKA kuwapa jukumu la ujenzi wa viwanda mashirika hayo ya hifadhi ya jamii, na asset za mifuko yote ni 1O % mpaka 3O% ya GDP ya nchi.

  Naye katibu mkuu wa chama cha mashirika hayo amesema viwanda vitajengwa na shirika moja moja na vingine kwa kushirikiana na viwanda vitavyojengwa vitakuwepo vya vipuri na nguo.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku