• Breaking News

  Sep 18, 2016

  Serikali Yatangaza Sheria za Nchi Zitakuwa Kwa Lugha ya Kiswahili


  Serikali yatangaza sheria zote zitakazotungwa nchini kuanzia sasa zitakuwa kwa lugha ya Kiswahili ili kuwawezesha wananchi wengi kuzielewa.

  Uamuzi huo unakwenda sambamba na kuzitafsiri sheria zote zinazotumika nchini ambazo ziko katika lugha ya Kiingereza.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku