Msanii wa filamu nchini Shamsa Ford amesema kuwa maisha yake kwa sasa yamepungua uhuru baada ya kuingia katika ndoa

Kupitia camera za eNewz Shamsa amesema "Kwa sasa uhuru umepungua, hata zile 'outs' sasa zimepungua"

Alipoulizwa kama je ndoa yake itabadilisha mtindo wake wa uigizaji, Shamsa alisema "Mimi bado ni m'bongo movie na mume wangu ananielewa, so hakuna chochote kitakachobadilika".


Post a Comment

 
Top