Kampuni ya Samsung imetaka kurejeshwa kiwandani simu aina ya Galaxy Note 7 baada ya kubaini betri huweza kulipuka wakati wakuchaji.
Samsung wamesema wateja ambao wameshainunua simu hiyo watabadilishiwa kwa hiari na watahakikisha hili jambo halitachukua muda mrefu.


Post a Comment

 
Top