Baada ya kukamilika kwa video ambayo kwa sasa inaelekea kutimia watazamaji milioni moja Youtube ‘Natafuta Kiki‘ ya Rayvanny, msanii wa filamu, maigizo na muziki Tanzania Snura amefanya Interview na nakusema 
Yeye aliifanya ile scene ya kumbusu Ray kwenye video hio  kama kazi tu, kama ambavyo script ilimtaka afanye ndicho alichokifanya, na wala hakumtamani Ray

Snura kwa ujasiri akaongeza kwa kusema 
“Kama script inataka nimkiss hata mwanangu ninaweza kufanya hivyo”.


Post a Comment

 
Top