• Breaking News

  Sep 19, 2016

  SOMALIA: Jenerali Mohamed Goobale Pamoja na Walinzi Wake 6 Wauwa na Al-Shaabab


  SOMALIA: Jenerali Mohamed Goobale pamoja na walinzi wake 6 wamefariki katika shambulio la kujitoa mhanga lililofanywa na Al-Shaabab.

  Al-Shabaab wamekiri kutekeleza shambulio hilo, wadai wamechukua hatua hiyo baada ya kubaini Jenerali huyo alikuwa amepanga njama dhidi yao.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku