• Breaking News

  Sep 3, 2016

  Wafanya Biashara Watelekeza Sukari Bandarini Wakihofia Kodi, Serikali Kuipiga Mnada

  Serikali kupiga mnada takribani tani 1,000 za sukari zilizotelekezwa kwenye bandari ya Dar na wafanyabiashara ikisemekana wanahofia mchanganuo wa kodi.

  TRA tayari imeweka makontena 44 kwa ajili ya mnada wiki ya kwanza ya Oktoba iwapo wamiliki wake watashindwa kujitokeza na kudai mzigo wao ndani ya siku 30

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku