• Breaking News

  Sep 6, 2016

  Taarifa ya Makamu wa Rais Mama Samia Hassan Kujiuzulu..Ukweli Huu Hapa


  Ofisi ya Makamu wa Rais imekanusha taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, ameomba kujiuzulu nafasi yake na kwamba taarifa hiyo haina ukweli wowote.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku