• Breaking News

  Sep 19, 2016

  TANESCO Yashindwa Kesi Dhidi ya IPTL...Yaamriwa Kulipa Zaidi ya Sh. Bilioni 320


  Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limeshindwa kwenye kesi yake IPTL -Independent Power Tanzania Limited.

  Hukumu hiyo imefikiwa mwisho wa wiki iliyopita ambapo World Bank tribunal (international centre for settlement of investment disputes.

  ICSID imeamuru TANESCO kuilipa Standard Chartered Bank Hong Kong (SCB HK) kiasi cha dola za kimarekani milioni 148.40 pamoja na tozo riba.

  SCB HK ndio walionunua mkopo wa IPTL kutoka bank ya Malaysia Danaharta kwa gharama ya dola za kimarekani milioni 76.1

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku