Rais Magufuli ameahirisha ziara yake ya kesho nchini Zambia ili ashughulikie tatizo la tetemeko la ardhi lililosababisha vifo vya watu 16 mkoani Bukoba.

Atawakilishwa na Makamu wa Rais, Samia Suluhu kwenye tukio la kuapishwa kwa Rais Mteule Edgar Lungu.


Post a Comment

 
Top