• Breaking News

  Sep 20, 2016

  TIMU ya Taifa ya Soka ya Wanawake Kilimanjaro Queens Yaitoa Kimaso Maso Tanzania Kombe la CECAFA

  Timu ya Taifa ya Soka ya Wanawake, Kilimanjaro Queens imeshinda Kombe la CECAFA leo baada ya kuinyuka Kenya magoli 2-1 katika fainali.
  Mechi hiyo ilikuwa ikichezewa nchini Uganda ambao ndio walikuwa waandaaji wa Michuano hiyo.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku