Katika mchezo huo uliochezwa Jana ambao Stand United walikuwa wanadhaniwa kama dhaifu dhidi ya bingwa mtetezi Yanga, wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0, goli ambalo lilifungwa na Pastory Athanas dakika  ya 62 na kuifanya ikae nafasi ya pili katika msimamo wa VPL kwa kufikisha point 12 na Yanga kuwa nafasi ya 3 wakiwa na point 10.


Post a Comment

 
Top