• Breaking News

  Sep 8, 2016

  Series ya Tyrant Yapigwa Chini Baada ya Kukamilika Msimu wa 3

  Basam
  Mashabiki wa tamthilia ya Tyrant, nikiwemo mimi, wamepokea kwa masikitiko makubwa taarifa kuwa, imefikia tamati na haitorudi tena.

  Msimu wa tatu na wa mwisho ulikamilika Jumatano hii.

  Uamuzi huo umetangazwa jana na mwenyekiti mtendaji wa FX Networks and FX Productions, John Landgraf.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku