Ubalozi wa Marekani nchini umeleta walimu 51 kutoka nchini Marekani kuja kufundisha masomo ya sayansi katika shule za sekondari nchini kwa mkataba wa miaka miwili na kusambazwa kwenye mikoa 22.

Chanzo: East Africa Radio.


Post a Comment

 
Top