• Breaking News

  Sep 5, 2016

  Unaambiwa Mauzo ya Jezi ya Mchezaji Pogba Peke yake Yamesharudisha Pesa Aliyonunuliwa na Man United


  Pogba aliyesajiliwa kwa pauni milioni 100 hadi sasa fedha hiyo imerudi kutokana na mauzo ya jezi yake. Tangu kuanza kuuzwa kwa jezi yake namba 6 wiki tatu za mwanzo tangu ajiunge na Man U amefikisha zaidi ya pauni milioni 200.

  Ni jezi ya mchezaji gani wa kibongo unaweza kununua kwa Tsh 100,000/- ? funguka hapa

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku