• Breaking News

  Sep 2, 2016

  VIDEO: Diamond Platnumz Alivyokutana na Kevin Hart Marekani

  Mwimbaji wa bongofleva Diamond Platnumz yuko Marekani kwaajili ya kufanya show Los Angeles September 2 lakini pia kufanya video ya kolabo yake na Neyo ambapo kwenye pitapita zake kakutana na Kevin Hart.

  Kevin Hart ameonekana kumpokea vizuri Diamond na hata kwenye video Diamond aliyorekodi mchekeshaji huyu alisalimia Tanzania na kumalizia na utani wa utambulisho wa jina lake.

  Hii sio mara ya kwanza kwa Diamond kukutana na mastaa wa dunia kwenye safari zake za Marekani, amekutana nao kadhaa akiwemo Nelly na Kanye West, tazama hii video fupi hapa chini.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku