• Breaking News

  Sep 11, 2016

  VIDEO: Idadi ya Vifo Kwenye Tetemeko la Ardhi Bukoba yaongezeka

  Idadi ya vifo vya watu kwenye tetemeko lilitokea Kagera inazidi kuongezeka ambapo Kamanda wa polisi Kagera Augustine Olomi ametaja kuwa imefikia vifo vya watu nane na majeruhi zaidi ya 100.

  ’Taarifa ya vifo vipatavyo vinane hadi sasa hivi na majeruhi kadhaa wanakwenda zaidi ya 100, lakini kutokana na hii taharuki jeshi la polisi tumejipanga kuzuia wale watu wanaotaka kupora mali za watu’:-Kamanda wa polisi Kagera

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku