• Breaking News

  Sep 2, 2016

  VIDEO: Mr Blue Alipopiga Simu na Kumfata Baraka da Prince Waongee Uso Kwa Uso

  Mr Blue
  Hivi karibuni kumekuwa na stori za kupishana kauli kwa wasanii wa bongofleva Mr. Blue na Baraka The Prince, chanzo ni taarifa zilizodai kwamba Blue kampigia simu mpenzi wake wa zamani aitwae Naj ambaye kwa sasa ni mpenzi wa Baraka, mwisho wa siku Blue anasema hakupiga simu yoyote.

  AyoTV inakukutanisha na hii Exclusive hapa chini, bonyeza play kupata kila kitu cha Blue

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku