Sep 11, 2016

Vifo tetemeko Kagera vyafikia 16, nyumba 840 zabomoka

 Mkuu wa Mkoa Kagera, Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu amesema watu waliokufa kwa tetemeko wamefikia 16, nyumba zilizoanguka ni 840 na zenye nyufa ni 1,264.

Kijuu amesema majengo ya Taasisi za Serikali zilizobomoka ni 44 na jumla ya majeruhi ni 253

No comments:

Post a Comment